App mpya ya Millard Ayo imeimarishwa muonekano na namna inavyokuletea taarifa kwa urahisi zaidi huku. Kwa sasa utaweza - kupokea ujumbe wa taarifa yaani "notification"- kutazama AyoTV- kutuma stori au habari kwa marafiki kupitia Whatsapp, SMS, Twitter na mitandao mingine. - Kusoma habari kwa mpangilio mahususi.